Dini

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

"Nikifa utanizika" Askofu afichua aliyoambiwa na JPM akiwa hai (+video)

Video Archive
Fri, 26 Mar 2021 Chanzo: millardayo.com

Askofu wa Kanisa Katoliki jimbo la Rulenge Ngara, Severine Niwemugizi ameiambia AyoTV kuwa Rais wa Tanzania marehemu, John Magufuli alimuambia yeye ndie amfanyie ibada ya maziko.

Askofu wa Kanisa Katoliki jimbo la Rulenge Ngara, Severine Niwemugizi ameiambia AyoTV kuwa Rais wa Tanzania marehemu, John Magufuli alimuambia yeye ndie amfanyie ibada ya maziko. ‘Wewe ni Askofu wangu utanizika. Mwaka ule 2015 akaniambia hivyo, mara ya pili akamwagiza Kamishna Jenerali wa Uhamiaji anirudishie passport akaniambia wewe ni Askofu wangu utanizika.” Askofu Niwemugizi

Chanzo: millardayo.com