Dini

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

"Mwezi hujaandamana, Eid El-Fitr ni Ijumaa"; Mufti Mkuu

X335ad3deeac24aa877c33f765ac3f9e6q .pagespeed.ic .XkQeTkQN T 660x400 "Mwezi hujaandamana, Eid El-Fitr ni Ijumaa"; Mufti Mkuu

Thu, 13 May 2021 Chanzo: millardayo.com

Mufti wa Tanzania Sheikh Abubakar Zuberi amewataka waislamu wote nchini kukamilisha mfungo wa siku 30 kutokana na mwezi kutoandama.

Akizungumza leo Jumatano Mei 12,2021 nyumbani kwake Jijini Dar es Salaam Sheikh Zuberi amesema baada ya kuwasiliana na kamati ya mwezi Morocco na mikoa mingine wamekubaliana kukamilisha mfungo na sikukuu Eid El- Fitr itakuwa Ijumaa Mei 14.

“Tunawataka waislamu kukamilisha mfungo wa siku 30 na sikukuu ya Eid El- Fitr itakuwa Ijumaa Mei 14,” Sheikh Zuberi.

LIVE: KICHWA CHINI MIGUU JUU UWEZO WA KUTISHA WA MAKOMANDOO WA UGANDA, RAIS SAMIA ATAZAMA

Chanzo: millardayo.com