Dini

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

'Mungu' wa Wahindi atembezwa barabarani Dar

Operanews1705843382523 'Mungu' wa Wahindi atembezwa barabarani Dar

Sun, 21 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kutokea nchini Tanzania yamefanyika maandamano na matembezi ya Kidini chini ya Baraza la Kihindu Tanzania ikiwa ni uzinduzi wa Msikiti wa Mungu wao RAM MANDIR.

Maandamano hayo ya kidini yanafanyika ulimwenguni kote kwa siku tatu huku kwa Tanzania yakiwa yamefanyika jijini Dar es Salaam katika viunga vya Kisutu ambapo yalianzia katika msikiti huo wa Mungu RAM unaojulikana kama Shri Lakshminarayan uliopo Mtaa wa Pramukh Swami.m, Kisutu.

Mratibu wa matembezi hayo, Pritesh Khimji amesema; “Hii ni sehemu ambayo Mungu wetu anaitwa RAM kazaliwa na tuna furaha kubwa na tumepata fursa kubwa katika maisha yetu kwamba tumekuwa moja wapo ya ushirikishwaji kwenye huu uzinduzi wa msikiti na kuna vitu vingi vya siku tatu tunafanya kwa ajili ya uzinduzi wa msikiti, ambapo tumeanza na matembezi ya kidini leo tunamtembeza Mungu kwenye eneo letu na tunajisifia kwamba tumepata Mungu tunayemuamini,”.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live