Dini

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mufti: Mwezi haujaonekana, Eid itakuwa Jumamosi

MUFTIIIII (600 X 429) Mufti Mkuu na Sheikh Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakari Zubery

Thu, 20 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mufti Mkuu na Sheikh Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakari Zubery ametangaza kwamba mwezi haujaonekana leo hivyo kesho Waislamu wataendelea kufunga Ramadhan kukamilisha siku 30 na Eid Al Fitri itakuwa Jumamosi.

Mufti Mkuu na Sheikh Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakari Zubery ametangaza kwamba mwezi haujaonekana leo hivyo kesho Waislamu wataendelea kufunga Ramadhan kukamilisha siku 30 na Eid Al Fitri itakuwa Jumamosi. “Tumefuatilia katika vyanzo vyetu pamoja na Watu ambao tunashirikiana nao Kenya, Zanzibar kote Mwezi haujaonekana na kwetu Tanzania Mikoa yote tumewasiliana nao lakini Mwezi haukuonekana, nimelithibitisha hilo na natangaza kwamba kesho tunaendelea kufunga na Eid itakuwa Jumamosi”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live