Dini

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mufti: Mfungo wa Ramadhani utaanza kesho Machi 23

Mufti Tz Mufti: Mfungo wa Ramadhani utaanza kesho

Wed, 22 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mufti wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeir amethibitisha taarifa ya kuandama kwa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.

Amewaambia waandishi wa habari mkoani Dar es Salaam kuwa, kufuatia kuandama kwa Mwezi Mtukufu, Waumini wa dini ya Kiislam katika maeneo mbalimbali nchini wataanza Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan hapo kesho Machi 23, 2023.

Mufti wa Tanzania amesema Mwezi umeonekana katika maeneo mbalimbali ya Tanzania Bara, Zanzibar na Kenya.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live