Dini

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Maneno ya Mstaafu Kikwete akizindua kitabu cha mirathi

Kikwete 1?fit=800%2C445 Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya kikwete

Sun, 24 Oct 2021 Chanzo: ChannelTen

Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya kikwete amezindua Kitabu kinachozungumzia Mirathi kwa Mujibu wa Dini ya Kiislam huku akiwataka Waumini wa Dini ya Kiislam pamoja na vyombo vya Kusimamia haki kisheria kuhakikisha wanakisoma kitabu hicho ili kupata Elimu ya mirathi kwa Misingi ya Kiislam ili kufikia ufumbuzi na uamuzi uliosahihi.

Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya kikwete amezindua Kitabu kinachozungumzia Mirathi kwa Mujibu wa Dini ya Kiislam huku akiwataka Waumini wa Dini ya Kiislam pamoja na vyombo vya Kusimamia haki kisheria kuhakikisha wanakisoma kitabu hicho ili kupata Elimu ya mirathi kwa Misingi ya Kiislam ili kufikia ufumbuzi na uamuzi uliosahihi. Akizungumza wakati wa Uzinduzi wa kitabu hicho cha Mirathi kilichoandikwa na Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwinyibaraka Foundation ambaye pia ni Mjumbe wa Baraza la Ulamaa la Bakwata Sheikh Issa Othman Issa amesema kitabu hicho kikisomwa na kueleweka kitawezesha kupunguza au kuondoa changamoto ya Migogoro ya Mirathi kwa waumini wa Kiislam.

Chanzo: ChannelTen