Dini

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kardinali Rugambwa ateuliwa kuwa Askofu Mkuu wa Jimbo la Tabora

KADINALI RUGAMBWA Kardinali Rugambwa ateuliwa kuwa Askofu Mkuu wa Jimbo la Tabora

Sun, 12 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baba Mtakatifu Fransisko amemteua Mwadhama Protase Kardinali Rugambwa kuwa Askofu Mkuu wa Jimbo kuu la Tabora kuanzia Novemba 10 mwaka huu baada ya aliyekuwa Askofu Mkuu Paul Ruzoka kufikia umri wa kustaafu.

Katibu wa Baraza la Maaskofu Tanzania, Padre Charles Kitima amesema katika taarifa kwa vyombo vya habari kuwa Askofu Ruzoka alimuandikia Baba Mtakatifu ombi la kustaafu ambaye pia aliridhia.

Una maoni usisite kutuandikia

Chanzo: www.tanzaniaweb.live