Dini

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kamati yaridhia katiba moja KKKT

Kkt Katiba Moja (600 X 298) Kamati yaridhia katiba moja KKKT

Thu, 24 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa 21 wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) wameridhia pendekezo la kuwa na Katiba moja ya Kanisa hilo.

Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa 21 wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) wameridhia pendekezo la kuwa na Katiba moja ya Kanisa hilo. Mkuu wa Kanisa hilo, Askofu Fredrick Shoo ametangaza uamuzi huo leo Agosti 24, 2023 katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Tumaini Makumira (Tuma) mkoani Arusha unapofanyika mkutano huo ambao pia una lengo la kumchagua mkuu wa Kanisa hilo atakayemrithi Askofu Shoo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live