Dini

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

KKKT: wodi ya wagonjwa ya Milioni 213, itahudumia wagonjwa (+video)

Screenshot 2020 09 30 At 23.27.00 660x400.png KKKT: wodi ya wagonjwa ya Milioni 213, itahudumia wagonjwa (+video)

Thu, 1 Oct 2020 Chanzo: millardayo.com

Kanisa la Kiinjili la KKKT limeikumbusha jamii wajibu wa kuwajali na kuwaheshimu Wauguzi, Wakunga na Madaktari  kwa kuwa ni kiungo muhimu cha maisha yao kwani kwa kufanya hivyo kutaongeza zaidi hamasa katika utendaji kazi wao.

Kanisa la Kiinjili la KKKT limeikumbusha jamii wajibu wa kuwajali na kuwaheshimu Wauguzi, Wakunga na Madaktari  kwa kuwa ni kiungo muhimu cha maisha yao kwani kwa kufanya hivyo kutaongeza zaidi hamasa katika utendaji kazi wao. Askofu wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini Kati Dkt. Solomoni Masangwa, ametoa rai hiyo katika ibada maalumu ya kuombea wahudumu wa afya pamoja na ufunguzi wa wodi mpya za Hopsitali ya Seliani Ngaramtoni Jijini Arusha, Hospitali ambayo imekuwa ikihudumia watu wengi waishio pembezoni hasa jamii ya kifugaji.JIONEE UZURI WA FLY OVER MPYA, KAMA ULAYA, MAGARI YANATELEZA, UBUNGO IMENOGA

Chanzo: millardayo.com