Dini

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ibada Ya Mwisho Ya Kumuombea Hayati Rais Magufuli - Chato

7 2?fit=1096%2C731&ssl=1 Live: Ibada Ya Mwisho Ya Kumuombea Hayati Rais Magufuli - Chato

Fri, 26 Mar 2021 Chanzo: globalpublishers.co.tz

Live: Ibada Ya Mwisho Ya Kumuombea Hayati Rais Magufuli – Chato March 26, 2021 by Global Publishers

BURIANI MAGUFULI: Hapa ndipo itakapofanyika ibada ya mwisho ya kuaga mwili wa Hayati Dkt. John Magufuli. Ni Kanisa la muda lililoandaliwa hapa kwenye Uwanja wa Magufuli, Chato.

Tayari wageni mbalimbali, viongozi na baadhi ya wananchi wameshajumuika.

#BurianiMagufuli #RIPMagufuli #BurianiJPM

Chanzo: globalpublishers.co.tz