Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Zikipita siku 7 Mtoto hajapatikana Waziri Afukuzwe kazi (+Video)

Albino Aliepoteaaaa mtoto mwenye ulemavu wa ngozi aliyepotea katika mazingira ya kutatanisha

Tue, 4 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanaharakati wa Haki za Binadamu, Wakili Maduhu William amemwomba Rais Samia Suluhu kuwafuta kazi Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, IGP na Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ikiwa zitapita siku saba kabla mtoto mwenye ulemavu wa ngozi aliyepotea katika mazingira ya kutatanisha mkoani Kagera hajapatikana.

Mtoto huyo mwenye miaka miwili na nusu alipotea Mei 30, mwaka huu.

Sikiliza Video hapa Chini;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live