Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Zaidi ya ekari 2700 zateketea kwa moto Njombe

Moto Mauaji Zaidi ya ekari 2700 zateketea kwa moto Njombe

Tue, 22 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Zaidi ya ekari 2700 zimeteketea kwa moto uliowaka kwa siku tatu mfululizo katika kijiji cha Itambo wilayani Njombe na kusababisha hasara ya mamilioni ya fedha baada ya kuteketeza mazao ya biashara ikiwemo misitu ya mbao ya watu binafsi na serikali.

Zaidi ya ekari 2700 zimeteketea kwa moto uliowaka kwa siku tatu mfululizo katika kijiji cha Itambo wilayani Njombe na kusababisha hasara ya mamilioni ya fedha baada ya kuteketeza mazao ya biashara ikiwemo misitu ya mbao ya watu binafsi na serikali. Kamati ya ulinzi na usalama ikiongozwa na Antony Mtaka ambaye ni Mkuu wa mkoa wa Njombe imefika kijijini hapo kutoa pole na kisha kuzungumza na wananchi, viongozi wa kijiji pamoja na wahanga wa janga hilo wanasema wamefanya kila jitihada kuzima moto huo siku tatu mfululizo bila mafanikio huku chanzo kikiwa hakijafahamika hadi sasa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live