Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

"Zaeni watoto mtakaomudu kuwalea" - DC Jokate

DC Jokate "Zaeni watoto mtakaomudu kuwalea" - DC Jokate

Mon, 3 Oct 2022 Chanzo: EATV

Mkuu wa wilaya ya Temeke Jokate Mwegelo, amewataka wananchi hasa wazazi kuhakikisha wanazaa watoto ambao watawamudu kuwalea ili kuepusha nchi kuwa na idadi kubwa ya watoto wa mitaani ambao wengine wanaamua kujiingiza kwenye vitendo vya uhalifu ikiwemo panya road.

Mkuu wa wilaya ya Temeke Jokate Mwegelo, amewataka wananchi hasa wazazi kuhakikisha wanazaa watoto ambao watawamudu kuwalea ili kuepusha nchi kuwa na idadi kubwa ya watoto wa mitaani ambao wengine wanaamua kujiingiza kwenye vitendo vya uhalifu ikiwemo panya road. DC Jokate ametoa kauli hiyo leo Septemba 26, 2022, kwenye maadhimisho ya siku ya uzazi wa mpango duniani yaliyoadhimishwa katika hospitali ya Mbagala Rangitatu iliyopo katika Manispaa ya Temeke.  

Chanzo: EATV