Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Waziri avunja kamati ya Mipango Miji Mwanza

Ardhi Pic Mabula Waziri avunja kamati ya Mipango Miji Mwanza

Thu, 9 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk Angeline Mabula, amevunja Kamati ya Mipango Miji ya Jiji la Mwanza.

Kamati hiyo ilikuwa chini ya Mwenyekiti wa Kamati ya Ardhi na Mipango miji wa Jiji la Mwanza Hamidu Said na Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza Yahya Sekieti, ambaye alikuwa Katibu wa Kamati.

Dk Mabula ametoa uamuzi huo leo, wakati wa kikao kazi cha viongozi wanaosimamia sekta ya ardhi kwa ngazi zote kuanzia wilaya , mitaa, kata na mkoa wa Mwanza.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live