Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Waziri aonya wachimbaji madini Simiyu

7429711cfc64f17471eea5eea98cf186 Waziri aonya wachimbaji madini Simiyu

Mon, 21 Dec 2020 Chanzo: habarileo.co.tz

Waziri wa Madini, Doto Biteko amewaonya wachimbaji wa dhahabu katika Mgodi wa Lubaga mkoani Simiyu, kuacha tabia ya kutorosha madini na kwamba anayo orodha ya majina ya ambao wamekuwa wakiyatorosha katika migodi mbalimbali ukiwemo mgodi huo.

Waziri Dotto ametoa onyo hilo jana alipofika katika machimbo ya mgodi huo na kuibuka kwa malalamiko ya wachimbaji wadogo. Pia amebainisha kuwa wakati wowote watoroshaji hao wa madini wataanza kuchukuliwa hatua za kisheria.

Pia alimuagiza mmiliki wa eneo hilo kushirikiaana na watu wenye mashamba na kwamba asilimia wanazozipata kutokana na uchimbaji wa wadini katika eneo hilo wagawane sawa.

Chanzo: habarileo.co.tz