Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Waziri Ulega aanza ziara mkoani Mwanza

WhatsApp Image 2023 10 03 At 13.jpeg Waziri Ulega aanza ziara mkoani Mwanza

Tue, 3 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega leo Septemba 3, 2023 ameanza ziara mkoani Mwanza kwa lengo la kukagua maendeleo ya sekta za mifugo na uvuvi. Waziri Ulega ataendelea na ziara hiyo mpaka kesho Septemba 4, 2023.

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega leo Septemba 3, 2023 ameanza ziara mkoani Mwanza kwa lengo la kukagua maendeleo ya sekta za mifugo na uvuvi. Waziri Ulega ataendelea na ziara hiyo mpaka kesho Septemba 4, 2023. Akiwa mkoani humo, Mhe. Ulega atakagua maendeleo ya ujenzi wa Boti na Vizimba ambavyo vitagaiwa kwa wavuvi, atatembelea maabara ya uvuvi na kufanya mikutano ya hadhara na Wananchi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live