Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Waziri Silaa afunga ofisi za Ardhi Dodoma

Jerry Slaa Dodoma.jpeg Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa

Tue, 28 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa ameifunga ofisi ya idara ya ardhi ya halmashauri ya jiji la Dodoma na kuamuru watumishi wa idara hiyo kuhamia kwenye ofisi za kamishana wa ardhi mkoa.

Hatua hiyo inafuatia kukithiri kwa migogoro ya ardhi katika jiji hilo linalotajwa kuwa na kesi zaidi ya 3,000 za ugawaji wa viwanja kwa wamiliki zaidi ya mmoja.

Je, hatua ya kuwaleta maafisa ardhi kufanya kazi katika eneo moja linaweza kumaliza migogoro ya ardhi iliyopo jijini Dodoma?

View this post on Instagram

A post shared by Azam TV (@azamtvtz)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live