Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Waziri Mkuu kachukizwa na tatizo la maji Buchosa, kaagiza yafuatayo.

3416 MAJALIWA 1 660x389

Mon, 26 Feb 2018 Chanzo: millardayo.com

Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa January 15, 2018 ameanza ziara yake ya kikazi mkoa wa Mwanza na ameanza na Halmashauri ya Buchosa wilaya ya Sengerema kukagua kituo kipya ya Afya, Shule ya Sekondari ya Nyehunge iliyoanza kidato cha tano mwaka wa masomo 2018.

Pamoja na kuongea na Wananchi, Waziri Mkuu ameonyeshwa kukerwa na tatizo la maji kwenye Halmashauri ya Buchosa kushindwa kukamilisha mradi wa maji kwa miaka 4 tangu kuanzishwa na haya ndio maagizo yake.

RAIS MAGUFULI AMEMPANGIA DR. SLAA KITUO CHA KAZI, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

Chanzo: millardayo.com