Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Waziri Mkuu aanza ziara Tanga

Waziri Mkuu Awataka Wananchi Kuwa Walinzi Wa Mbolea Waziri Mkuu aanza ziara Tanga

Tue, 7 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Waziri mkuu Kassim Majaliwa amewasili Mkoani Tanga kwa ziara ya siku moja

Waziri mkuu Kassim Majaliwa amewasili Mkoani Tanga kwa ziara ya siku moja Akiwa Mkoani humo atafanya ziara Katika wilaya ya Handeni ambapo atafanya kikao cha ndani na watumishi waliopo wilayani humo pamoja na kuzungumza na wadau wa walioko Katika Kijiji cha Msomera.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live