Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wazazi wanaoywesha watoto Ulanzi wapewa onyo

Antony Mtaka Mkuu Wa Mkoa Wa Njombe.png Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Antony Mtaka

Mon, 29 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Antony Mtaka amewapa onyo wazazi wanaowanywesha pombe ya Ulanzi watoto wao wadogo pindi wanapolia njaa ili walale badala ya kuwapa chakula.

Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Antony Mtaka amewapa onyo wazazi wanaowanywesha pombe ya Ulanzi watoto wao wadogo pindi wanapolia njaa ili walale badala ya kuwapa chakula. Mtaka ameyasema hayo wakati wa kampeni ya lishe wilayani Wanging’ombe mkoani humo huku akiweka bayana kuwa hafurahishwi na Njombe kuwa na kiwango kikubwa cha Udumavu licha ya kuwa mzalishaji mkubwa wa mazao ya chakula.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live