Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wazazi wadaiwa kuwatishia kifo watoto ili wasifaulu mitihani

Mwanafunzi Shulezz Wazazi wadaiwa kuwatishia kifo watoto ili wasifaulu mitihani

Sat, 22 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Hii imetokea kwa baadhi ya Wazazi Wilayani Makete kuwaaminisha Watoto wao kuwa kufanya kwao vizuri kutawafanya Wazazi wafariki dunia kwa kuwa watashindwa kumudu gharama za kuwasomesha.

Afisa Mtendaji wa Kata ya Lupila, Tumwanukye Ngakonda amesema wamebaini hayo baada ya kuwahoji Wanafunzi wanaoelekea kuhitimu Elimu ya Msingi.

Amesema wametoa elimu kwa Wanafunzi kutokubali kufeli na kuwaelezea umuhimu wa kufaulu mitihani hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live