Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Watumishi matatani kifo cha Mjamzito

Watumisha Matatani Watumishi matatani kifo cha Mjamzito

Tue, 14 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Watumishi watatu wa kituo cha afya cha Kabuku kilichopo Halmashauri ya Wilaya ya Handeni wamesimamishwa kazi kufuatia kifo cha Mama mjamzito Bi.Mariam Zahoro Mohamed (39) aliyefariki katika kituo hicho huku uchunguzi zaidi wa tukio hilo ukiendelea

Watumishi watatu wa kituo cha afya cha Kabuku kilichopo Halmashauri ya Wilaya ya Handeni wamesimamishwa kazi kufuatia kifo cha Mama mjamzito Bi.Mariam Zahoro Mohamed (39) aliyefariki katika kituo hicho huku uchunguzi zaidi wa tukio hilo ukiendelea Sababu za kifo cha mama huyo zinadaiwa ni kukosekana kwa fedha kiasi cha 150,000 ili afanyiwe upasuaji aidha Halmashauri ya wilaya ya handeni imeunda tume huru ya kuchunguza tukio hilo kuchukua hatua zaidi endapo itabaini uzembe ulisababisha kifo cha mama huyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live