Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Watu watatu wauawa akiwemo mjamzito

Maiti Mauaji Kifo 58 Instagram Watu watatu wauawa akiwemo mjamzito

Fri, 15 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Watu wa tatu wameuawa akiwemo mama mjamzito wa miezi 7 huku mtuhumiwa akidaiwa kuwa na matatizo ya Afya ya akili ambapo tukio hilo limetokea kata ya Sirop Wilayani Hanang mkoani Manyara siku ya jana.

Kamanda wa Jeshi la Polisi SACP George Katabazi ametbitisha kutokea kwa tukio hilo,ambapo amesema waliouwawa ni mama mzazi wa mtuhumiwa, mama wa jirani ambaye ni mjamzito wamiezi 7 pamoja na mtoto wake wa mwaka Mmoja.

Aidha Kamanda SACP Katabazi amesema chanzo cha tukio hilo ni matatizo ya Afya ya akili aliyokuwanayo mtuhumiwa na mpaka sasa anashikiliwa na jeshi hilo kwa uchanguzi Zaidi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live