Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Watu sita wafariki dunia

Ajali Pc 660x400.jpeg Watu sita wafariki dunia

Wed, 31 Mar 2021 Chanzo: millardayo.com

Watu sita wamefariki dunia na wengine 19 wamejeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya Machame Investment lililokuwa likitoka jijini Dodoma kwenda Moshi kupata ajali kwenye Kijiji cha Kiongozi Wilaya ya Babati mkoani Manyara.

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Manyara, Kamishina Msaidizi Wwandamizi Paul Kasabago amesema ajali hiyo imetokea leo Jumanne Machi 30 kwenye Kijiji cha Kiongozi.

Kamanda Kasabago amesema bado wanaendelea na uchunguzi wa ajali hiyo ila uchunguzi wa awali unaonyesha ni mwendo kasi.MREMBO APITIA MAZITO “DAKTARI ALIKOSEA AKAZIDISHA DAWA NIKAWA KIZIWI, NINA DEGREE, NILITAPELIWA”

Chanzo: millardayo.com