Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Watu kadhaa wanusurika kwenye ajali Tabata (+Video)

Ajali Tabata Watu kadhaa wanusurika kwenye ajali Tabata

Wed, 17 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Watu kadhaa wamenusurika katika ajali iliyohusisha lori la mizigo baada ya kuligonga kwa nyuma gari la abiria aina ya Eicher eneo la Tabata Matumbi jijini Dar es salaam.

Taarifa za awali zimeeleza kuwa chanzo cha ajali hiyo ni mwendokasi wa dereva wa lori aliyeshindwa kulidhibiti gari hilo.

Tazam Video hapa chini;

View this post on Instagram

A post shared by 107.3 UFM Radio (@ufmradiotz)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live