Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Watu 15 wanusurika kufa ajali ya daladala

Daladala Canter Ajali.png Watu 15 wanusurika kufa ajali ya daladala

Wed, 3 May 2023 Chanzo: mwanachidigital

Watu zaidi ya 15 wamenusurika kifo baada ya gari ya dogo la mizigo kugongana na daladala inayofanya safari zake kati ya Moshi mjini na Mwika mkoani Kilimanjaro katika eneo la Shaa Tours.

Hata hivyo majeruhi wote wamechukuliwa na kupelekwa Hospitali ya Mkoa ya Mawezi.

Hata hivyo jitihada za kumtafuta Kamanda wa polisi Mkoa wa Kilimanjaro zinaendelea.

Chanzo: mwanachidigital