Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Watu 10 wafariki katika ajali Bukoba

B64fa2eab290c9213be3eea9f01e9271 Watu 10 wafariki katika ajali Bukoba

Sat, 24 Oct 2020 Chanzo: habarileo.co.tz

#BREAKING: Watu 10 wamefariki dunia na wengine watano kujeruhiwa na kupelekwa hospitali teule ya Nyamiaga wilayani Ngara, baada ya gari la abiria mali ya kampuni ya Emirates kuanguka likitokea Ngara kwenda Bukoba.

#BREAKING: Watu 10 wamefariki dunia na wengine watano kujeruhiwa na kupelekwa hospitali teule ya Nyamiaga wilayani Ngara, baada ya gari la abiria mali ya kampuni ya Emirates kuanguka likitokea Ngara kwenda Bukoba. Mganga mfawidhi wa hospitali hiyo, David Mapunda amethibitisha. Tutakuletea taarifa zaidi.

Chanzo: habarileo.co.tz