Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Watoto watatu wafariki kwa kutumbukia mtoni

Mtoto Mkb Watoto watatu wafariki kwa kutumbukia mtoni

Thu, 16 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Watoto watatu kutoka Kata ya Tinde Wilaya ya Shinyanga wamefariki dunia baada ya kutumbukia katika bwawa lililopo eneo la Ngaka.

Tukio hilo limetokea leo Mei 16, 2024 saa nne asubuhi katika Kijiji cha Nyambuhi ambapo watoto hao walienda katika bwawa hilo kwa lengo la kuogelea.

Jeshi la Zimamoto na Uokaji kwa kushirikiana na wananchi wamefanikiwa kupata mwili wa mtoto mmoja huku juhudi za kutafuta miili mingine ya watoto wawili zikiendelea.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live