Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Watatu mbaroni kwa kuhujumu miundombinu ya TANESCO

Pingu Law Watatu mbaroni kwa kuhujumu miundombinu ya TANESCO

Thu, 11 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wa watatu wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma kwa tuhuma za kuhujumu miundombinu ya Shirika la Umeme (Tanesco) mkoani humo ambapo wananchi wametahadharishwa kujiepusha na vitendo hivyo ambavyo vinakwamisha jitihada za serikali za kutoa huduma ya umeme wa uhakika kwa wananchi.

Wa watatu wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma kwa tuhuma za kuhujumu miundombinu ya Shirika la Umeme (Tanesco) mkoani humo ambapo wananchi wametahadharishwa kujiepusha na vitendo hivyo ambavyo vinakwamisha jitihada za serikali za kutoa huduma ya umeme wa uhakika kwa wananchi. Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Jabiri Shekimweri ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wilayani humo akithibitisha kukamatwa kwa watuhumiwa hao amesema hatua kali za kisheria zitachukuliwa kwa wote watakaobainika kuhusika.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live