Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Watano wa familia moja wafariki ajali ya moto Mwanza

Pic Moto (600 X 337) Watano wa familia moja wafariki ajali ya moto Mwanza

Mon, 8 Nov 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Watu watano wa familia moja wamefariki dunia, baada ya nyumba waliokuwa wakiishi kuteketea kwa moto wakati wakiwa wamelala usiku wa kuamkia Novemba 08, 2021.

Tukio hilo limetokea katika mtaa wa Igoma Mashariki kata ya Igoma wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza na kuteketeza kila kitu katika nyumba hiyo wakiwamo watu hao.

Kamanda wa Jeshi la zimamoto na uokoaji mkoa wa Mwanza, Ambwene Mwakibete amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo ya Moto na kusema kuwa waliofariki ni watu wa familia moja.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live