Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Watahiniwa 2677 Manispaa ya Bukoba kufanya mitihani

66487 Shule+pic Watahiniwa 2677 Manispaa ya Bukoba kufanya mitihani

Sun, 14 Nov 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

WATAHINIWA 2677 wa kidato cha nne Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera wanatarajiwa kufanya Mtihani wa kuhitimu elimu hiyo Novemba 15 mwaka huu.

Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri hiyo ,Hamid Njovu amesema hayo Leo wakati akizungumza na Waandishi habari mjini humo.

Amesema, katikawatahiniwa hao inaidadi ya wavulana 1292 , wasichana 1385 na vituo kufanyika mtihani37.

"Hivi vituo vipo kwa makundi matatu Kuna shule za serikali17 ,binafsi13na wale wa kujitegemea7(watu wazima)wote waneandaliwa kwa mujibu wa Sheria"amesema Njovu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live