Sat, 8 Apr 2023
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Wananchi wa Kijiji cha Maposeni, kilichopo Halmashauri ya Songea, mkoani Ruvuma, wamemlalamikia mtendaji wa Kijiji hicho, Bi.Brashida Fusi, kwa kuwaweka mahabusu wananchi hao kwa saa 24, baada ya kushindwa kujitolea kwenye kazi za ujenzi wa bweni la shule ya sekondari Daraja Mbili.