Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wanne wa familia moja wafariki kwa kusombwa na maji Morogoro

Mafuriko Morogog Wanne wa familia moja wafariki kwa kusombwa na maji Morogoro

Wed, 10 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Watu watatu wa familia moja wamefariki dunia baada ya kusombwa na maji yaliyotokana na mvua kubwa iliyonyesha majira ya saa saba usiku mkoani Morogoro huku mmoja akinusurika kifo baada ya kujiokoa.

Watu watatu wa familia moja wamefariki dunia baada ya kusombwa na maji yaliyotokana na mvua kubwa iliyonyesha majira ya saa saba usiku mkoani Morogoro huku mmoja akinusurika kifo baada ya kujiokoa. Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Morogoro, SF Shabani Marugujo amethibitisha kuopoa miiili ya watu wawili huku wakiendelea na jitihada za kuutafuta mwili wa mtu mmoja ambaye mpaka sasa haujapatikana.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live