Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wanawake Sengerema wagombania khanga za maombolezo

Maombolezopic Ed Wanawake Sengerema wagombania khanga za maombolezo

Wed, 24 Mar 2021 Chanzo: ippmedia.com

Wananchi hao huku wengi wao wakiwa ni wanawake wamewataka wahusika kuwapatia za khanga za kutosha ili wavae wakati wa kumuaga mpendwa wao Leo Jumatano Machi 24, 2021.

Mmoja wa wahitaji wa khanga hizo Oliva Sanga, amesema kwa upande wake hiyo ni njia pekee ya kumuenzi Magufuli ni kuvaa khanga hizo zenye maneno mazuri ya kumuaga kiongozi huyo.

Mwili wa kiongozi huyo unatarajia kuagwa muda mfupi ujao katika uwanja wa CCM Kirumba mkoani Mwanza.

Chanzo: ippmedia.com