Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

"Wanaume wawili una walaza kitanda kimoja" DC Sabaya ashtukiza shule ya bweni (+video)

Screenshot 2020 09 15 At 08.50.43 660x400.png "Wanaume wawili una walaza kitanda kimoja" DC Sabaya ashtukiza shule ya bweni (+video)

Tue, 15 Sep 2020 Chanzo: millardayo.com

Serikali Wilayani Hai mkoani Kilimanjaro imetoa saa 24 kwa Shule ya Sekondari Patmo kuhakikisha Wanafunzi wa kiume wanaolala wawiliwawili kwenye kitanda kimoja huku wakichangishwa Tsh. laki nane na nusu kwa ajili ya malazi kwa kila Mwanafunzi wanapatiwa malazi sahihi haraka vinginevyo atalazimika kuchukua hatua kali.

Serikali Wilayani Hai mkoani Kilimanjaro imetoa saa 24 kwa Shule ya Sekondari Patmo kuhakikisha Wanafunzi wa kiume wanaolala wawiliwawili kwenye kitanda kimoja huku wakichangishwa Tsh. laki nane na nusu kwa ajili ya malazi kwa kila Mwanafunzi wanapatiwa malazi sahihi haraka vinginevyo atalazimika kuchukua hatua kali. Mkuu wa Wilaya ya Hai amewaonya Wamikili wa Shule hiyo kufuatia kitendo cha kuanzisha bweni wakati hawana kibali na kuwapa mwezi mmoja kukipata vinginevyo shule hiyo itakuwa imejifunga kwa kutoza Wanafunzi fedha nyingi na kushindwa kutoa huduma za msingi.

Chanzo: millardayo.com