Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wanaume wadaiwa kukimbia familia zao kisa madada poa

Kahaba Danguro.png Wanaume wadaiwa kukimbia familia zao kisa madada poa

Tue, 12 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baadhi ya wanaume katika kijiji na kata ya Bupandwa Halmashauri ya Buchosa wilaya ya Sengerema Jijini Mwanza wanadaiwa kutelekeza na kutozihudumia familia zao na kukimbilia madada poa ambao wametajwa kuongezeka kwa kasi kijijini hapo.

Baadhi ya wanaume katika kijiji na kata ya Bupandwa Halmashauri ya Buchosa wilaya ya Sengerema Jijini Mwanza wanadaiwa kutelekeza na kutozihudumia familia zao na kukimbilia madada poa ambao wametajwa kuongezeka kwa kasi kijijini hapo. Afisa mtendaji wa kata ya Bupandwa amesema anapokea kesi kadhaa za familia kutelekezwa hivyo ametoa rai kwa wanaume wanaofanya hivyo kuacha mara moja tabia hiyo akisema wanaendelea kuwaelimisha madada poa hao waweze kujiajiri.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live