Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wananchi watoa povu jamaa aliyempelekea gari trafiki amgonge

Tra6105795165 Jamaa aliyempelekea gari trafiki

Sat, 11 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Hivi karibuni kumekua na Clip ya video iliyosambaa ikimuonyesha Askari wa Usalama wa Barabarani akilisimamisha gari lakini dereva wa gari hilo alionekana kukaidi na kuendelea kuendesha gari huku akipiga honi

Jana, Februari 10, Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Jumanne Sagini, ameagiza kukamatwa na kunyang’anywa leseni dereva huyo aliyeonekana kwenye video iliyosambaa.

Kufuatia tamko hilo, watu wamefunguka maoni yao huku wakiwa na mitazamo tofauti tofauti baadhi wakiunga mkono hatua hiyo huku wengine wakiiponda. Hapa chini nimekuekea maoni ya wadau hao.





Chanzo: www.tanzaniaweb.live