Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wananchi wafunga barabara Chalinze

IMG 20240401 WA0004 Wananchi wa Kijiji cha Mpaji Kata ya Mbwewe, Halmashauri ya wilaya ya Chalinze mkoani Pwani, wamelaz

Mon, 1 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wananchi wa Kijiji cha Mpaji Kata ya Mbwewe, Halmashauri ya wilaya ya Chalinze mkoani Pwani, wamelazimika kufunga barabara kufuatia ajali iliyohusisha dereva wa gari dogo isiyofahamika kumgonga mtoto na kutokomea kusiko julikana.

Jeshi la polisi Mbwewe limefika eneo la tukio kuweka mambo sawa huku taarifa ya moja mwa moja ya mtoto aliyegongwa haijajulikana kama ameumia sana au kupoteza maisha, jitihada bado zinaendelea za kuwapata jeshi la polisi ili kuthibitisha uwepo wa tukio hilo.

Endelea kufuatilia kurasa zetu kwa habari zaidi. #EastAfricaRadio

Chanzo: www.tanzaniaweb.live