Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wanafunzi walia kukosa mwalimu wa kike

Wanafunzi Walia Kukosa Mwalimu Wa Kike Wanafunzi walia kukosa mwalimu wa kike

Mon, 23 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baadhi ya Shule za msingi kwenye kata ya kang'ata wilaya ya Handeni mkoani Tanga zinakabiliwa na changamoto ya ukosefu wa walimu wakike, hali inayowalazimu wanafunzi wa kike kwenye shule hizo kushindwa kufikisha changamoto zao kwa walimu wa kiume waliopo kwenye Shule hizo.

Shule hizo ni madebe na Bumba ambapo wakizungumza mbele ya viongozi wa kata na tarafa ya magamba wanafunzi hao wanasema ili waweze kuondokana na adha hiyo ni vyema kupatiwa walimu hai.

Kufuatia maombi hayo yaliotolewa na wanafunzi na walimu, afisa tarafa ya magamba wakati akiwa kwenye ziara yake ya kikazi Bonifasi Deus akawataka wanafunzi kuwa wavumilivu wakati akilishughulikia suala hilo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live