Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wanafunzi 92 waliorejea shule baada ya kujifungua wakwama kuendelea na masomo

Mimba Mashuleniiii Wanafunzi 92 waliorejea shule baada ya kujifungua wakwama kuendelea na masomo

Sat, 15 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ugumu wa maisha na kukosekana kwa Wasaidizi wa kulea Watoto kumetajwa kuwa kuwa sababu ya kusitisha masomo kwa Wanafunzi 92 kati ya 265 waliorejea masomoni baada ya kupata ujauzito shuleni chini ya Utaratibu wa Kuboresha Elimu Sekondari (SEQUIP).

Ugumu wa maisha na kukosekana kwa Wasaidizi wa kulea Watoto kumetajwa kuwa kuwa sababu ya kusitisha masomo kwa Wanafunzi 92 kati ya 265 waliorejea masomoni baada ya kupata ujauzito shuleni chini ya Utaratibu wa Kuboresha Elimu Sekondari (SEQUIP). Msimamizi wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima Dodoma, Anna John anasema “Takwimu hizo ni kwa Mwaka 2022 na 2023 katika vituo 9 vya Dodoma, baadhi ya sababu nyingine wanazotaja kuwakwamisha ni Wanafunzi hao kushawishiwa kurejea kwa wenza wao.”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live