Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wanafunzi 12 wilayani Kigoma wapata mimba kuanzia Januari 2019

73150 Mimba+pic

Tue, 27 Aug 2019 Chanzo: mwananchi.co.tz

Kigoma. Wanafunzi wamepewa mimba katika halmashauri ya Wilaya Kigoma kuanzia Januari hadi Juni, 2019.

Hayo yameelezwa na ofisa ustawi wa jamii halmashauri ya wilaya Kigoma, Penina Mbwete wakati wa mafunzo ya kupinga vitendo vya ukatili wa kijinsia yaliyotolewa kwa viongozi wa dini leo Jumanne, Agosti 27, 2019.

Amebainisha kuwa kati ya  12, watano ni wanafunzi wa shule za msingi na wengine saba wa sekondari.

"Hao 12 ndio walioripoti taarifa zao za  mimba lakini inawezekana wapo wengi waliopata mimba huko vijijini lakini hawatoi taarifa, " amesema Mbwete.

Chanzo: mwananchi.co.tz