Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Waliofariki ajali ya basi Geita wafikia 10

Ajali Geita Gh.jpeg Waliofariki ajali ya basi Geita wafikia 10

Wed, 8 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wananchi mbalimbali wamejitokeza katika hospitali ya mkoa wa Geita kutambua miili ya ndugu zao waliofariki katika ajali ya gari iliyotokea Kata ya Kasamwa mkoani Geita jana Machi 7/2022, ambapo hadi sasa watu 10 wamethibitishwa kufariki dunia ambapo wanawake ni watano na wanaume watano

Ajali hiyyo ilihusisha gari linalofahamika kwa jina la Sheraton lililoanguka mtaroni baada ya kupasuka tairi la mbele,

Miongoni mwa waliofariki ni mwandishi na mhariri wa Gazeti la Nipashe na The Guardian kanda ya Ziwa Mwanza Richard Makore.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live