Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Walimu sita wahusishwa na biashara ya ngono

Darasani Ml.jpeg Walimu sita wahusishwa na biashara ya ngono

Tue, 9 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baadhi ya Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo, mkoani Kagera, wameomba kuchukuliwa hatua za kinidhamu kwa walimu 6 wa shule ya Sekondari ya Nyantakala, wakiwatuhumu kuwashawishi wanafunzi wa kike kuingia kwenye biashara za ngono, hali ambayo wamedai inasababisha kushuka kwa kiwango cha ufaulu wa wanafunzi kwenye shule hiyo.

Baadhi ya Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo, mkoani Kagera, wameomba kuchukuliwa hatua za kinidhamu kwa walimu 6 wa shule ya Sekondari ya Nyantakala, wakiwatuhumu kuwashawishi wanafunzi wa kike kuingia kwenye biashara za ngono, hali ambayo wamedai inasababisha kushuka kwa kiwango cha ufaulu wa wanafunzi kwenye shule hiyo. Madiwani hao wametoa ombi hilo kwenye kikao cha Baraza la Madiwani wa Halmashauri hiyo ,wakati wakijadili hoja mbalimbali, ambapo wamesema wanashangazwa kuona hatua hazichukuliwi licha ya kuundwa kwa Tume ya Awali ya Uchunguzi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live