Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Waliacha Basi na kutembea kwa Miguu

Capp Waliacha Basi na kutembea kwa Miguu

Fri, 2 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Abiria waliokuwa safirini kutoka Kondoa kuelekea Kiteto leo Februari 2, 2024 wamelazimika kuliacha basi lao nyuma na kutembea kwa miguu ili kuruhusu basi kupita likiwa tupu.

Abiria waliokuwa safirini kutoka Kondoa kuelekea Kiteto leo Februari 2, 2024 wamelazimika kuliacha basi lao nyuma na kutembea kwa miguu ili kuruhusu basi kupita likiwa tupu. Hatua hiyo imekuja baada ya basi hilo kushindwa kupita sehemu ambayo imeharibiwa na mvua ambazo zinaendelea kunyesha kwenye maeneo mbalimbali nchini.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live