Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wakiri kuhusika vifo Watoto saba wa familia moja

Polisi Kagera Wakiri kuhusika vifo Watoto saba wa familia moja

Sat, 23 Dec 2023 Chanzo: Dar24

Jeshi la polisi Mkoani Kagera linawashikilia watuhumiwa watatu Jenipher Petro (19), Mernrs Petro (22) na Emmanuel Julius (31), wakazi wa Kijiji cha Nyakanazi wakituhumia kuweka dawa za Kienyeji zenye sumu aina Biazion inayotumika kuua wadudu kwenye mboga za majani na kusababisha vifo vya watu saba wa familia Moja

Jeshi la polisi Mkoani Kagera linawashikilia watuhumiwa watatu Jenipher Petro (19), Mernrs Petro (22) na Emmanuel Julius (31), wakazi wa Kijiji cha Nyakanazi wakituhumia kuweka dawa za Kienyeji zenye sumu aina Biazion inayotumika kuua wadudu kwenye mboga za majani na kusababisha vifo vya watu saba wa familia Moja Amesema, “watumia hao walitoroka mara baada ya kutekeleza mauaji Novemba 13, 2023 na kwenda kujificha

Chanzo: Dar24