Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wakazi mto Msimbazi watuma barua kwa Rais Samia

Msimbazi Tyr Wakazi mto Msimbazi watuma barua kwa Rais Samia

Mon, 20 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wananchi wanaoishi pembezoni mwa bonde la mto Msimbazi wanaotakiwa kupisha mradi wa uendelezaji wa bonde hilo wameandika barua ya wazi kwa Rais wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kumuomba kuingilia kati zoezi la uthaminishaji.

Wanadai kuwa zoezi hilo linafanyika kinyume na makubaliano ya awali.

Awali makubaliano yalijengwa katika msingi wa kulipana mali kwa mali tofauti na zoezi linavyofanyika sasa hivyo kumuomba Rais Dkt Samia kuingilia mchakato huo.

Mradi wa uendelezaji wa bonde hilo unatekelezwa kupitia benki ya dunia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live