Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wakazi Ruvuma watakiwa kuondoka maeneo hatarishi

Laban Thomas Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Kanali Laban Thomas

Thu, 7 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakazi wanaoishi maeneo hatarishi yaliyopo karibu na mabonde na sehemu zisizorasmi mkoani Ruvuma wametakiwa kuchukua tahadhari kwa kuondoka na kuhamia maeneo salama ili kuepusha madhara yanayoweza kujitokeza majira haya ya masika.

Wakazi wanaoishi maeneo hatarishi yaliyopo karibu na mabonde na sehemu zisizorasmi mkoani Ruvuma wametakiwa kuchukua tahadhari kwa kuondoka na kuhamia maeneo salama ili kuepusha madhara yanayoweza kujitokeza majira haya ya masika. Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Kanali Laban Thomas ameyasema hayo wakati akizungumza kwenye kikao maalum na waandishi wa habari ofisi kwake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live