Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Waendesha daladala Mwanza wameweka mgomo kwa muda usiojulikana

Waendesha Daladala Mwanza Wameweka Mgomo Kwa Muda Usiojulikana.jpeg Waendesha daladala Mwanza wameweka mgomo kwa muda usiojulikana

Mon, 11 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kutokea Mwanza waendesha Daladala wameweka mgomo kwa muda usijulikana huku chanzo kikitwaja kuwa ni kuingiliana kwa ruti na waendesha bajaji kwenye vituo vya daladala.

Wamiliki wa Daladala na pamoja madereva wamesema kuna baadhi ya makubaliano yaliyowekwa kutofatwa na waendesha bajaji mkoani humo huku wakiuomba uongozi kuhakikisha suala hilo linawekwa sawa

Baadhi ya abiria wameeleza kwamba mgomo wa leo umeathiri shughuli zao za kila siku ikiwemo kuwahi kwenye majukumu yao, hivyo wamelazimika kutumia usafiri mbadala wa babaji za mizigo ili kuwahi kwenye shughuli zao huku nauli ikiwa juu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live