Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wabunge wa Dar wanahangaika na mafuriko

Segerea Pic Wabunge wa Dar wanahangaika na mafuriko

Mon, 17 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

MBUNGE wa Segerea, Bonnah Kamoli (CCM) amesema wabunge wa Dar es Salaam hawajafika Bungeni kutokana na changamoto ya mafuliko inayochangiwa na miundombinu mibovu katika jiji hilo kubwa nchini.

MBUNGE wa Segerea, Bonnah Kamoli (CCM) amesema wabunge wa Dar es Salaam hawajafika Bungeni kutokana na changamoto ya mafuliko inayochangiwa na miundombinu mibovu katika jiji hilo kubwa nchini. Bonnah ameitaka serikali kutoa kipaumbele katika utekelezaji wa Mradi wa uendelezaji wa Jiji la Dar es Salaam (Dar es Salaam Metropolitan Development Project- DMDP ili kuondoa tatizo la mafuliko linaloathiri shughuli za uchumi katika jiji hilo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live