Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

WAKURUGENZI WAWILI WA MANISPAA WASIMAMISHWA KAZI

Capture 602?fit=781%2C577 WAKURUGENZI WAWILI WA MANISPAA WASIMAMISHWA KAZI

Tue, 22 Dec 2020 Chanzo: zanzibar24.co.tz

Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Tawala za Mikoa ma Idara Maalum za SMZ Mhe Masoud Ali Mohammed amawasimamisha kazi Mkurugenzi Manispaa ya Mjini pamoja na Mkurugenzi wa baraza la Manispaa Magharib A na kuagiza  kuanza kwa taratibu za Uchunguzi juu ya Tuhuma mbalimbali zinazolenga kuwepo kwa Tuhuma mbalimbali zinazowakabili ikiwemo ubadhirifu wa Fedha za Umma.

Chanzo: zanzibar24.co.tz